Waziri wa Kilimo
Chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza akiwa na ujumbe wa Wizara yake,
kulia ni Mkurugenzi wa Usalama wa Chakula, Bwana Karim Mtambo na kushoto ni Bi.
Margaret Ndaba, Waziri huyo na ujumbe wake, wapo Jijini Malabo, Equatorial
Guinea kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (Picha
kwa Hisani ya WKCU)
Home
Unlabelled
WIZARA YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA YASHIRIKI MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA UMOJA WA AFRIKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...