1zMkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Wizara yake katika maonyesho ya wiki ya Utumishi yanaoendelea kwenye viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam, Kushoto ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo.
2zMkurugenzi wa Utawala Wizara ya Viwanda na Biashara Bi. Mary Mwangisa wa tatu kutoka kulia na Fredy Mndewa Kaimu Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi kushoto wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa wanaohudumia katika banda hilo. 3zEdward Nkomola Afisa habari wa Wizara ya Viwanda na Biashara akiandika ripoti ya Maonyesho hayo kulia ni Debora Mofati Afisa Tawala wa Wizara hiyo na kushoto ni Kamala Gombe Afisa Viwanda na Biashara. 4zMkuu wa kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Viwanda na Biashara Bw. Thomas Mushi akizungumza na mwandishi wa habari wa Magaziti ya Serikali TSN Bi. Lucy Lyatuu aliyetembelea katika banda hilo. 5zBaadhi ya maafisa wakiendelea na shughuli zao katika banda hilo la Wizara ya Viwanda na Biashara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...