Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma Hab Mkwizu (kulia) akisistiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam juu ya maadhimisho ya siku ya utumishi wa umma  yanayotarajia kuanza tarehe16 Juni, kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Habari assah Mwambene.
  Naibu Katibu Mkuu toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma HAB Mkwizu (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia maadhimisho ya Siku ya Utumishi wa Umma yanayotarajiwa kuanza Juni 16, katikati ni Mkurugenzi Idara ya Uendelezaji Rasilimaliwatu Bi. Roxana Kijazi toka Ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa Umma na mwisho kulia ni Mkrugenzi Msaidizi Idara ya Uchumi na Ushauri Kazi Bw. Hassan Kitenge.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...