Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiongea na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe cha Morogoro Mbele ya Ukumbi wa Bunge. Wanachuo hao wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo
Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiwa katika Picha ya pamoja na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Mbele nje ya Ukumbi wa Bunge
Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo. Waziri wa Uchukuzi Mhe.Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akizungumza na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa.Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo kulia ni Mbunge wa Lupa Mhe.Victor Mwambalaswa, ambaye aliwapa wanachuo hao shilingi million moja taslimu za kuwasaidia kufanikisha malengo yao.
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe.Eng.Stellah Manyanya akiwapa somo la jinsi ya kupambana na maisha na kufikia malengo wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo.
Picha na Deusdedit Moshi Mtendaji Mkuu wa
Photo Solutions wawakilishi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...