MENEJA WA AZANIA BENKI LIMITED, TAWI LA KAHAMA, BWANA GEOFFREY MAHONA, AKIONGEA KWENYE SHUGHULI YA FUTARI ALIYOWAANDALIA WATEJA WA BENKI HIYO NA BAADHI YA WANANCHI WA KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
SHEIKH WA WILAYA YA KAHAMA, MKOANI SHINYANGA, SHEIKH OMAR DAMKA AKIONGOZA WATEJA NA WANANCHI WA KAHAMA WALIOALIKWA KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA KAHAMA HIVI KARIBUNI KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI KAHAMA.
ALHAJ JAHA , AMBAYE NI MMOJA WATEJA WA AZANIA BANK LIMITED, NAYE ALIKUWEPO KWENYE FUTARI HII ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA TAWI LA KAHAMA KUWAFUTURISHA WATEJA WAKE WAISLAM NA BAADHI YA WANANCHI WAISALM WA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
SEHEMU YA WATEJA KINAMAMA WA KAHAMA WALIOKUWEPO KWENYE SHUGHULI HIYO YA FUTARI ILIYOANDALIWA NA BENKI YA AZANIA KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA KAHAMA HIVI KARIBUNI.
SEHEMU YA WATEJA NA WANANCHI WA KAHAMA WAKIFUTURU KWENYE FUTARI WALIYOANDALIWA NA AZANIA BENKI LIMITED, HIVI KARIBUNI MJINI KAHAMA KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...