

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pamoja na kuheshimu mila za kidini, naomba nifundishwe; kwani nafundishika:
ReplyDeleteJe, Waisalmu wangu hawa wataendelea kukalia mikeka hadi lini. Najua dini hii ilianzia katika mazingira ya mahema. Lakini siku hizi wanaweza tu kuweka meza!
Hayo ya kuvua viatu niliishafundishwa, na nikafundishika!
Anony 1 kwa taarifa yako kukalia mkeka si umaskini, kiafya ni bora zaidi kuliko mezani inashauriwa hivyo ili chakula kiteremke vizuri, miguu,mikono na tumbo vipate starehe (relax) hata ulainishaji chakula (digestion) unachukua muda mfupi, hii imo katika hadithi. Sambamba na kulala katika mkeka ni bora zaidi kuliko katika magodoro na vitanda.Chukua hatua anza sasa. Si kila kitu cha mzungu ni cha kuiga.
ReplyDeleteAsante, Hiyo ni sehemu moja tu ya uchangiaji.KKira suala lina pande mbili, ama sarafu>
ReplyDeleteSikusema kuwa tuige kila la mzungu.
Na hiyo ya kutumia mikono badala ya vijiko, uma na visu, nayo yanipa utata.
Kweli kabisa jamaa anauliza mwaswali ya msingi. Kwani hata unaposema kuwa tusiige kwa wazungu hizi sio mila zetu za mababu zetu wa zamani. Hizi hapa ni mila ka kiarabu, sio kiafrika.
ReplyDelete