Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akimkaribisha ofisini kwake balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014
![]() |
Waziri Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa Mwalimu Nyerere Foundation Mhe Dkt. Salim Ahmed Salim akiongea na balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanzania Bwana Egon Kochanke ambaye alifika kujitambulisha kwake na kumjulia hali leo Jumatano 23 Julai 2014 |
URAISI 2015:
ReplyDeleteTusiangalie umri pekee, kulingana na changamoto zilizopo ngumu kama hizi hapa chini:
1.Muungano wa Afrika ya Mashariki.
2.Muungano wa Bara na Visiwani.
3.Hatma ya TZ katika kuelekea Uchumi wa Gesi na Mafuta.
TUNAHITAJI JAKAYA KIKWETE MWINGINE 2015 ATAKAYEWEZA KUYABEBA MAGUNIA YOTE MATATU YA MISUMARI MGONGONI, NADHANI HILI ATALIWEZA HATA MHE. SALIM AHMED SALIM !
Ofisi pametulia sana. Tunaweza kuona nama Dr Salim anavyo tunza mazingira kwa kutumia taa zenye teknolojia ya 'Energy Efficiency' (I presume); ingawa ofisi una mwanga wa jua ya kutosha. Ndugu Salim is the President that we never had.
ReplyDelete