Sheikh Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad
Mussa Salum(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati futari
iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa wakimsikiliza mgeni
rasmi, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa jiji la Dar es Salaam, Sheikh Alhad
Mussa Salum(hayupo pichani) wakati wa futari iliyoandaliwa na
BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo iliyofanyika katika
Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa wakichukua futari
iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Baadhi ya wageni waalikwa na wafanyakazi wa wakila futari
iliyoandaliwa na BancABC kwa wateja na wafanyakazi wa benki hiyo
iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...