Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Singida, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao
Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao
Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri
Basi la Amani likiwa limepinduka
Kikosi kazi cha Michuzi TV kilicho katika ziara ya kikazi mikoani kikihojiana na baadhi ya abiria asubuhi hii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...