Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Suleiman Lighuchu akizungumza
wakati wa futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania kwa wateja wake wa
mkoani Tanga hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya Exim Tawi la
Tanga, Deogratius Makwaia, Mgeni Rasmi Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi
(Wa pili kulia)na Katibu wa Bakwata wa Mkoa, Bw. Mohamed Riami (wa kwanza
kulia).
Meya wa Jiji la Tanga, Mhe. Omary Uledi, ambaye pia ni mgeni
rasmi (wapili kulia) akizungumza wakati
wa futari iliyoandaliwa na Benki ya Exim Tanzania kwa wateja wake wa mkoani
Tanga hivi karibuni. Wa pili kushoto ni Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Tanga,
Deogratius Makwaia, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Suleiman Lighuchu (watatu
kushoto)na Katibu wa Bakwata wa Mkoa, Bw. Mohamed Riami (wa kwanza kulia)
Baadhi ya wateja wa Benki ya Exim Tanzania na wafanyakazi
wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumzwa wakati wa futari iliyoandaliwa na benki
hiyo mkoani Tanga kwa ajili ya wateja wake.
Baadhi ya wateja wa Benki ya Exim Tanzania na wafanyakazi
wakichukua vyakula mbali mbali vilivyoandaliwa malum kwa ajili ya futari
iliyoandaliwa na benki hiyo mkoani Tanga kwa ajili ya wateja wake.
Tanga akina dada na akina mama hatari saaana kwa mapishi!,
ReplyDeleteebo Juisi ya Pinki?
Hivi ukiingia hapo utachomoka kweli?
Kama hutabadili tarehe ya kuondoka ktk Tiketi yako?
Tanga kunani?
ReplyDeleteYallah Yallah !
Futari Muhogo chungu kimoja nazi 7 !
Hogo Keki, Chapati Sufi, Gimbi joya, Tumbua Bakuli, Juisi mafuta mafuta!