Home
Unlabelled
BONGO MOVIE STAR RIYAMA ALLY AKIONGEA NA SPORAH
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nampenda sana huyu Dada I wish angesoma kidogo lakini hajachelewa. Anasauti ya kubembeleza sijui Mzaramo wa wapi mwenye sauti tamu ya kubembeleza hivyo.
ReplyDeleteMasha Allah Riyama, nimeyapenda sana mahojiano yako na Sporah, khususan the way ulivyokuwa ukijibu kwa kituo bila papara, lugha fasaha na kwa kujiamini. Kadhalika umedhihirisha kuwa muwazi na kama ulivyosema, tumeambiwa "Kulli-l-haqqi, walau kana mur'ra..(tuseme ukweli japokuwa unauma)".
ReplyDeleteKwa unavyoonekana ni mtu mwenye 'inswafu' na 'kalima' njema kwa watu, juu ya hilo Mwenyeez Mungu akuzidishie. Kimtazamo, umejengeka kimaadili, malezi na kiimani. Mbali ya kukiri kwako kwa kutokuwa na elimu ya kutosha, nadhani hilo lisikusononeshe sana, madhali umelibaini na kuahidi kulifanya kazi, basi In Sha Allah, utafanikiwa tu na kufikia pale unapostahili na kuweza kutimiza ndoto na malengo yako katika fani yako hiyo ya usanii. Pongezi za dhati na MOLA azidi kukuongoza kila penye kheri na kukunusuru na shari zote - AMEN.