Hapa ni barabara ya Morocco (sasa Kawawa Road) mitaa ya Kimnondoni. Hivi sasa barabara hii iko katika ujenzi mpya kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka. Na hiyo ngoma unayosikia ni ya Kundi la Sisi Tambala
Home
Unlabelled
Bongo tambarare: Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Morocco road
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I am lost, mabasi yaendayo kwa haraka, how on earth should we encourage that, only bongo!!
ReplyDeleteongeza hili...
ReplyDeletena hao unaowaona wananinginia katika pickup ni wasiojali roho zao