Mkurugenzi
Mtendaji wa Mfuko wa Elimu wa Bonnah (Bonnah Education Trust Fund), Bonnah
Kaluwa (wa pili Kulia) akizungumzia uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Mpango wa ‘Elimu
Mwanzo Mwisho’, ambapo wanafunzi wengine 100 wasio na uwezo na yatima wa jijini
Dar es Salaam watakaofaulu kujiunga na elimu ya sekondari watanufaika na mpango
huo kwa kulipiwa ada.Mfuko huo umeandaa Chakula cha Hisani Agosti mwaka huu.
Meneja
Rasilimali Watu na Utawala wa Kampuni ya Aramex Tanzania Limited, Jane Njagi (kushoto) akizungumzia namna
kampuni yake ilivyoamua kuwaunga mkono Bonnah Education Trust Fund kwa
kuwadhamini kuhakikisha watoto 100 wanapata ada za elimu ya sekondari.
1. Meneja
Mkazi wa Kampuni ya Resolution Health, Oscar Osula (kulia) akielezea kampuni
hiyo kuwa moja ya wadhamini wa mpango huo wa kuwawezesha watoto wasio na uwezo
na yatima kupata elimu ya sekondari.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...