Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 25, 2014

    mzungu si mchezo atakalo anasema kuliuwa anasema ugaidi then analiuwa....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 25, 2014

    Afadhali sasa mambo yamekuwa ni mazuri angalau pana Uhakikisho wa akiba tofauti na zamani zile zilipo filisiwa benki za Meridian Biao, Delhpis bank -mtangulizi wa hii FBME na ile Greenland Bank.

    Nakumbuka hadi mastafu wa Meridian Biao Bank na Greenland Bank walilia vilio vya machozi kama watoto wadogo, kukuta asubuhi BoT imetundika kufuli zake milangoni mwa Benki!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 25, 2014

    Vigeugeu... Jumatatu walikanusha wakadai ni uzushi..... Chezea mzungu hapana wewe!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 25, 2014

    BOT walijidai kukanusha mwanzoni kua ni uzushi!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 26, 2014

    Ufisadi Mwisho kwa Obama. Mujini kila mtu anaheshimu USA.
    Hahahaa.. homa ya jiji

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...