Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Israel Mhe,Gil Haskel aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Israel Mhe,Gil Haskel aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Israel Mhe,Gil Haskel baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
kumbe siku hizi tuna balozi wa israe hapa nchini! msimamo wa mwalimu dhidi ya israel tumeachana nao!?
ReplyDeleteIsraeli haina shida, msimamo wa mwalimu ulikuwa tu wa kuunga mkono wapigania uhuru..
ReplyDelete