Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mshauri wa Rais Uwekezaji Bw.Abrahman Mwinyi Jumbe (kushoto) akipotembelea shamba la ufugaji wa samaki la kikundi cha Hakiliki Mwambe kusini Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wananchi wa wanakikundi cha Ufugaji wa Samaki cha Hakiliki Mwambe kusini Pemba jana,wa Pili (kulia) Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdilahi Jihadi Hassan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta na Watoto wa Kijiji cha Mwambe mara baada ya kuzungumza na Wananchi wa wanakikundi cha Ufugaji wa Samaki cha Hakiliki jana,alipofanya ziara katika Mkoa wa Kusini Pemba.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...