Chama Cha Mapinduzi Tawi la California, Kinawatakia Kheri na Baraka Waislamu wenzetu wa hapa na dunia kote katika sherehe hii muhimu ya EID MUBARAK.
Tunaomba kupitia sherehe hizi amani na upendo vitawale na Mungu azidi kutujalia huruma,nguvu na maisha marefu.
Tuko pamoja katika shamrashamra.
HAPPY EID EL-FITR
KHERI YA IDD EL-FITR
Aleyna Waaleyk
ReplyDelete