Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi
wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza
Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK
ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando,
Msama alisema kuwa albamu
hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es
Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.
Msama
amesema kuwa baada ya albamu hiyo kuzinduliwa jijini Dar,Rose Muhando
ataitambulisha tena albamu hiyoa kwa mashabiki wake Agosti 10 mwaka huu
Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Amesema kuwa kwa upande wa mkoa wa Mwanza,Rose Muhando ametoa kipau mbele kwa jiji hilo kuwa chaguo lake la kwanza baada ya uzinduzi wa jijini Dar es Salaam.Msama amewataka mashabiki wa mwimbaji huyo nyota wa nyimbo za injili hapa nchini kujitokeza kwa wingi na kumuunga mkono.
Msama amesema kuwa Rose Muhando anaendelea kujipanga vyema kuhakikisha anawapa burudani ya nguvu,
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi
wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza
Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu kwa jina la FACEBOOK
ya mwimbaji nguli wa muziki wa injili Rose Muhando,
Msama alisema kuwa albamu
hiyo itazinduliwa Agosti 3 mwaka huu katika ukumbi wa Diamond-Jubilee jijini Dar es
Salaam na baada ya hapo itatambulishwa katika mikoa kadhaa nchini.
Msama
amesema kuwa baada ya albamu hiyo kuzinduliwa jijini Dar,Rose Muhando
ataitambulisha tena albamu hiyoa kwa mashabiki wake Agosti 10 mwaka huu
Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Kwa mujibu wa Alex Msama amesema kuwa nyimbo zilizopo katika albamu yake ya Kamata Pindo la Yesu ni Bwana Niongoze, Wewe Waweza, Usiniache, Nibariki, Muongo, Kwema, Kamata Pindo la Yesu na Facebook.
Hivi sasa Muhando anatamba na albamu yake ya Utamu wa Yesu yenye nyimbo saba, ambazo ni Utamu wa Yesu, Raha Tupu, Tamalaki, Ndivyo Ulivyo, Woga Wako, Imbeni na Kusifu na Achia.
Mbali
na Utamu wa Yesu, Rose Muhando pia amewahi kutamba na albamu za Uwe
Macho, Nyota ya Ajabu (Zawadi ya Krismasi) na Jipange Sawasawa,
Kitimutimu, Mungu Anacheka, Wololo.Pia amepata kung’ara katika wimbo wa Vua Kiatu, alioshirikiana na Anastazia Mukabwa wa Kenya.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...