Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka "FFU Ughaibuni" yenye makao yake nchini Ujerumani, inawapa mkono wa IDD el Fitr wadau wote wa ndani na nje ya Tanzania.
Sherehekeeni sikuu ya EID MUBARAKA kwa amani na furaha
EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA ! EID MUBARAKA
msikose kusikiliza at www.ngoma-africa.com
maafande wakuu wa kikosi maalumu ughaibuni tunawataakieni mkono wa Idd nanyi pia Idd mubarak
ReplyDeletengoma africa band aka viumbe wa ajabu tumeupokea mkono wenu wa idd
ReplyDeletembarikiwe na mwenyezi mungu huko mliko mzidishe mapambano yenu
ngoma africa band aka viumbe wa ajabu tumeupokea mkono wenu wa idd
ReplyDeletembarikiwe na mwenyezi mungu huko mliko mzidishe mapambano yenu
wazee wa kazi ffu ninawatakieni mkono wa eid mubaraka
ReplyDeletena kwata zenu