Home
Unlabelled
IJUE HISTORIA YA GLOBU YA JAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimependa sana hiyo intaviu yako bwa mathupu. Je ngoma azipendazo ankal inatoka kila baada ya muda gani? Na je ze-fulas leo hukuivaa - kwa nini? Na mwisho je KISIASA globu yako ina lalia upande was kushoto, kulia au katkati ?
ReplyDeleteneno jingine naamini ulilolibuni lililonivutia ni Vikwangua anga "magorofa"
ReplyDeleteHahahahhahahahaaa kumbe ni GLOBU na sio BLOG
ReplyDeleteUK
Bwana Mathupu naomba basi unijibu maswali yangu hapo juu?
ReplyDelete(a) ze-fulanas ilikuwa wapi leo katika intaviu yako? au ilikuwa inaoshwa ukaiweka juani kuanika?
(b) je ni maneno gani ambayo yameshaingia katika kamusi ya kiswahili ambayo globu ya jamii imekuja nayo (au imeyaVUMBUA?). Hiyo ndio lugha inavyokuwa
(c) je Globu ya Jamii inalalia upande gani kisiasa? Kushoto, Kulia au Katikati? Tuelezane kwa sababu hii itasaidia wasomi wa globu hii kuamua kusuka au kunyoa!
Asante sana
Joe....*mwandishi wa komenti ya kwanza - nasubiri majibu*
Michuzi you are the best bloga in Tz. Keep it up! Kweli nimekua nje na Napata habari motomoto toka kwa Michuzi Blog. Asante sana.
ReplyDeleteGwee Mnyambala, kwa kweli nimeipenda hii inteingewaokoarview, hasa hiyo style mliyotumia kwenye hiyo location! Ninaamini kwamba clip-mic ya kuzuia upepo ingewaondoleeni hizo kelele za upepo!
ReplyDeletemikonozzzzzzz, ze fulanazzzzz, Libeneke, lugha gongana, yale yaleeeeee..., na mengine kibao uliyoanzisha ankal umesahau kuyataja bhana! Mpaka wengine wanaiga kwako. wewe ni mfani wa kuigwa. Iconic Tanzanian blogger. You are making history without knowing it my broda
ReplyDeleteUncle, Mimi ni mdau wa New York. Asante sana kwa kutuma interview hii nzuri. Na tunatoa shukrani kwa kuendelea kuwa karibu na sisi na kwa kutupeperushia habari zetu kila mara tunapokuomba.
ReplyDeleteIdumu globu ya Jamii!