Recorded by Vijimambo on  July 29,  2011 in Washington DC 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2014

    ze fulanas ipo wapi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2014

    We hapo juu unajua ze fulanazzz ama unapiga domo tu. Hio aliyovaa ni nini? Oyaaaaaa Ankal for Prezident!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2014

    Wewe, mimi ni mtu wa mwanzo mwanzo wa kuanza kusoma michuzi, kwa hiyo ninapouliza "ze-fulanas" ninauliza ile "original - the fulanas ya mwanzo kabisa"
    Atuambie kama bado ipo tuinunue sisi kama soverniour.

    Swali la kizushi mathupu. Neno au jina la ankal kakupatia nani? Kwa nini usiitwe njomba tu - hueni njomba inaendana vizuri na sura yako na tabia (culture) zetu hasa kusini?

    Joe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...