Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme
ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya
watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula
iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala
ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa
tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.
Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme
ya IPTL Bw. Aidan Kaune (kulia) na Meneja maswakla ya kampuni wa IPTL (Company
Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta (katikati) wakikabidhi sehemu ya
bidhaa zilizonunuliwa wakati wa karamu ya chakula kwa watoto yatima wapatao 500
kutoka vituo mbali mbali Dar es Salaam na Wilaya ya Kondoa, kwa ajili ya
kusherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr. Kushoto ni Mkurugenzi wa taasisi ya
Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak, ambao waliandaa karamu hiyo baada ya
kufadhiliwa na IPTL.
Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme
ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya
watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula
iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja
maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta.
Meneja maswala ya kampuni ya kufua umeme ya IPTL
(Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta akijumuika pamoja na
baadhi ya watoto 500 mayatima kutoka vituo mbalimbali Dar es Salaam na Wilaya
ya Kondoa kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa
na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...