Jaji Mfawidhi Mhe. SS Kihiyo (mwenye suti ya kijivu) na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukagua Magereza ya Mkuza, Kibaha, akiwa katika ziara yake mkoa wa pwani .
Jaji mfawidhi Mhe. SS Kihiyo na ujumbe wake wakiwa mbele ya jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaha Maili Moja ambako ametoa agizo kuwa shughuli za mahakama zitahamia mahakama yenye nafasi kwani jengo hilo halifai kwa matumizi.
Jaji Mfawidhi Mhe. SS Kihiyo akiongea na watumishi katika ziara yake Mkoa wa Pwani.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...