Banda la NSSF linavyoonekana kwa nje.
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk. Ramadhani Dau wakati alipotembelea banda la NSSF. Kutoka kushoto ni Abeid, Zhulkifir na Thamrat Dau.
Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Julius Nyamuhokya kuhusu mradi mkubwa wa
ujenzi wa mji wa kisasa unaojulikana
kwa jina la Dege Eco Village utakaokuwa na
nyumba za kuishi 7000 katika eneo la
Dege Kigamboni jijini Dar es Salaam, mradi huo unatekelezwa kati ya NSSF kwa
ushirikiano na kampuni ya Azimio. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
ya NSSF, Abubakar Rajabu na wa pili kushoto
ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Abdallah Kigoda. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
The mdudu.mjomba Michuzi tafadhari nakuomba unitafutie number ya simu ya huyo dada alievaa nguo zenye rangi ya BENDERA YA TAIFA LETU mm muda wa kuowa umewadia mm huwa napenda wadada wazalendo wenzangu maana mm ni mzalendo wa kwanza kwa taifa langu
ReplyDeleteMzalendo unishi ughaibuni....???njoo vumbini huku tuuone uzalendo wako....Mdudu.
ReplyDeleteThe mdudu.sasa ww ndio yule dada au vipi? Kama ndio ww tupeane number plz mm kuishi ugaibuni wala siotatizo cha umuhimu kwanza ni mawasiliano.
ReplyDelete