Ikiwa kama ada endelevu kila ifikapo mwezi 27 wa mfungo mtukufu wa ramadhani Siku ya Ijumaa July 25, 2014 Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kama ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar waliweza kuftari na waislamu wenzao wa maeneo mbali mbali wa karibu na wakiwemo wakaazi wa Mwembetanga, vikokotoni, pamoja na waMichezani.
Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar
Pichani: Maalim Abuu, sheikh Ali wakipata futari ya pamoja Siku ya Ijumaa July 25, 2014
Ndugu jamaa na marafiki wakipata iftar ya pamoja iliyoandaliwa na Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar
Matunda ya shokishoki yaliyowekwa kwaajili ya kushushia futari ya mwenzi 27 Ramadhani iliyoandaliwa na Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar
Chichili wa Mwembetanga (wakwanza kulia) akishushia na chai ya moto ilioandaliwa na  Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar
Haji Mtuwa a.k.a hajibwa mtu akipata flashi ya katika futai ya wanajumuiya wa Jumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...