Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akimpa maelezo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, wakati alipotembelea
banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es
Salaam Jumatatu Julai 7, 2014.
Msanii maarufu nchini, Mrisho Mpoto, (Katikati), akionyesha
kadi mpya ya uanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, baada ya kukabidhiwa na
Mkurugenzi Mkuuwa Mfuko huo, Sdam Mayingu, (R), kwenye maqonyesho ya 38 ya
biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kushoto ni Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
(Kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo, Mwanachama Mpya, Msanii
maarufu nchini, Mrisho Mpoto (Katikati), kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam jana Jumatatu Julai 7, 2014. Kushoto ni Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko huo, Abdul Njaidi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...