alozi Mdogo wa Tanzania, Dubai, Mhe. Omar Mjenga, aungana na Mabalozi Wadogo wenzie wanaoziwakilisha nchi zao Dubai kwenda kukutana na kutoa salaam za Eid kwa Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah.
Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah (walioketi)
Wafalme wa Dubai, Sharjah, Ajman, Fujairah, Umm Ul Quwain na Ras Al Kheimah wakifungua kinywa na mabalozi wadogo
Sehemu ya mabalozi wadogo wakiwa kwenye hafla hiyo
Mhe. Omar Mjenga akiwa na Mhe. Jose De Francio Balozi Mdogo wa Msumbiji, Dubai.
Huyu Balozi mdogo anafaa sana kuwa afisa habari.
ReplyDeleteHapo balozi selfie poa sana. Pia hii shughuli inaonekana nzito sana maana wafalme wote wa UAE wako. Lakini mambo ya waarabu na huo mkao wa kijitenga wao kuleee sisi hukuuu hauleti mandhari nzuri.
ReplyDeleteHuyu balozi anastahili pongezi sana, anaonekana ana mipango mizuri ya kuunganisha mambo ya uwekezaji Tanzania na nchi hii ya wenzetu walioendelea tangu zamani. Hongera bwana balozi mdogo Dubai.
ReplyDelete