Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akitembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge)akipata maelezo leo kuhusu bidhaa mbalimbali kutoka kwa Bi mkubwa Juma kwenye banda la Zanzibar katika maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Mama Salma Kikwete (katikati mwenye kitenge) akipokelewa na Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa wakati alipotembelea leo maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.
Mama Salma Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea leo banda la Mke wa Rais wa Awamu ya Tatu , Mama Anna Mkapa kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye viwanja vya sabasaba jijini Dares Salaam. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...