Ujerumani goli 7 na Brazil  bao 1.... wanalia. Mara ya mwisho Brazil kupigwa mabao kibao namna hiyo ilikuwa mwaka 1920 walipopigwa 6-0 Uruguay...
Taswira mbali mbali za ufungaji wa magoli saba ya Ujerumani dhidi ya Brazil.
 Mkongwe Miroslav Klose akishangilia bao lake.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2014

    Uwezo wetu ndio ulipoishia ubishi wa scolari wakutuletea mafoward wabovu ndio huo funzo hilo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 09, 2014

    Nawapongeza Brazil kwa kuweza kufika hapo walipofika. Sisi kama Taifa hata hatujawai kusogelea kombe la Afrika achilia mbali la Dunia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 09, 2014

    Eti uwezo wetu!! Unless kama wewe ni mbrazil.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2014

    Baada ya kuangalia mpira huu ninakubaliana na wale wanaosema kushinda mpira wa miguu si ujuzi tu bali ni bahati inayokuja mchezoni mpira ukikukaribia ukaufanyia kazi basi unaweza kuingiza goli. Poleni Brazil baada ya kutolewa timu za Afrika wengi wetu tuliegemea kwenu. Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2014

    Dad choice done by scolari

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2014

    Audhubillah
    Walikuwa kama wamerogwa.
    They did not seem to know where they were and what they were supposed to do.Mtu juzi angenambia kuwa Brazil watafungwa mabao saba ningemwita kichaa mwenye wazimu
    Pole big Scolari

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 09, 2014

    Brazili hata wakishindwa wachezaji wao ni mahendsamu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 09, 2014

    Anaesema hakutegemea namshangaa, hamkuambiwa mpira ni dakika 90? Hivyo usiwe na matokeo kichwani, we kaa tu uangalie mpira unavyo-flow! Na hapa nawashauri watu waache unazi wa ushabiki kwani unaweza kupata maradhi yasiyotibika, iwe kwa timu yako kushinda au kuadhibiwa!

    Hata hivyo rekodi ya Zaire (9-0 vs Yugoslavia) na El Salvado (10-1 vs Hungary) hazijavunjwa!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 09, 2014

    Hilo ni Tambiko...Nawapenda Brazil, wafungwe, wasifungwe!! Bado ni miamba wa soka duniani, mabingwa mara 5 mweeee

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 10, 2014

    Neimar alipoumia basi! Ina maana brazil wanamtegemea ´Neimar tu? Wacheze kwa ustadi mkubwa bila kútegemea mtu mmoja tu, ona sasa? Mbona waholanza na wajeruamni hawana cha wanamtegemea nani zaidi! Wote wanajitahidi kucheza vizuri ktk nafasi zao. Tusubirie ushindi wa kombe nani atachukua mjerumani au mholanzai??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...