Katibu wa mbunge wa jimbo la Kalenga Bw Martine Simangwa kushoto akikabidhi msaada wa bati 100 kwa uongozi wa kijiji cha Usengerendeti kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya wauguzi wa Zanahati ya kijiji . |
Wananchi wakishiriki kushusha bati hizo |
Katibu
wa mbunge Mgimwa Bw Martine Simangwa akieleza kazi mbali mbali
zilizofanywa na mbunge Godfrey Mgimwa toka alipochaguliwa HABARI ZAIDI BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...