Daktari wa Mifugo wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa,
Augustino Nyenza akimwelekeza Mbunge wa viti maalum Lita Kabati mradi wa
machinjia ya kisasa yaliyoko Ngelewala yaliyopo katika kata ya Isakalilo.
Mganga Mfawishi wa Hospitali ya wilaya ya Frelimo Dk. Hassan Mtani
akitoa taarifa kuhusu hospitali hiyo mbele ya mbunge wa Viti maalum CCm
Lita Kabati
Baadhi ya wahudumu wa hospitali ya Frelimo
Mbunge wa viti maalum CCM Lita Kabati akimpa pole mama aliyejifungua hospitalini hapo.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Iringa kwa tiketi ya chama cha
mapinduzi(CCM), Lita Kabati akikagua mradi wa barabara kiwango cha lami katika eneo la Ngome.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...