Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akielekea kuweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kutokana na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze
Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo ndugu Samuel Saliyanga wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba
Jengo jipya la Zahanati linaloendelea kujengwa katika kijiji cha Kinzagu, kata ya Lugoba Jimbo la Chalinze linaloongozwa na Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.
Mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete akiweka jiwe la msingi katika nyumba ya walimu iliyojengwa kwa na michango ya wadau mbalimbali ikiwamo ofisi ya Mbunge wa Chalinze
Mashaallah!!!
ReplyDeleteUsheikh unakutoa chicha sana kaka,
Al Ustaadh Sheikh Ridhwani Jakaya Kikwete!
Wewe mdau hapo juu acha kujikomba. Usheikh siyo kuvaa kanzu tu ni zaidi ya hapo, kujifunza na kujua mambo ya Mungu. Kama ni kuvaa kanzu si kila mtu angekuwa sheikh?
ReplyDelete