Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Chato, Mhe. Dk. John Magufuli akihutubia wanachi wa kijiji cha Nyisanzi kata ya Kigongo.
Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato akielezea namna Halamshauri
inavyojitahidi kuboresha huduma mbalimbali kwa wananchi wa kata ya Nyarutembo.
kikundi cha Burudani kutoka kata ya Nyarutembo kikitumbuiza wakati Mbunge wa Jimbo la
Chato alipotembelea eneo hilo.
wananchi wa kitongoji cha Nyabirere kata ya Muganza wakiwa wamezuia msafara wa Mhe.
Dk. John Magufuli kwa lengo la kueleza kero mbalimbali na kumsalimia mbunge wao.
waendesha bodaboda wa Nyisanzi kata ya Kigongo wakiongoza mapokezi ya Mhe. Dk. John
Magufuli.
wakazi wa kata ya Kasenga wakimsikiliza Mhe. Dk. John Magufuli.
Mamia ya wananchi wa kata ya Kachwamba wakinyosha mikono juu kuashiria kujiunga na
Chama cha Mapinduzi na kuachana na upinzani ambapo Mhe. Magufuli ambaye ni mbunge wa jimbo la
Chato aliwapokea rasmi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...