WAKAZI WAISHIO PEMBEZONI MWA BARABARA KUU YA
IGUNGA - NZEGA WAKIMSILIZA WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN POMBE
MAGUFULI KUHUSU OMBI LA KUWEKEWA MATUTA. HATA HIVYO
WAZIRI WA UJENZI ALIWAJIBU KUWA SHERIA HAIRUHUSU KUWEKA
MATUTA KWENYE BARABARA KUU ILA TANROADS ITAWEKA ALAMA
ZA BARABARANI KATIKA ENEO HILO ILI WANANCHI HAO WASIPATE
SHIDA YA KUVUKA BARABARA.
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPANDA JUU
YA DARAJA LA MBUTU ILI KUKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WAKE
AMBAO UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 98 ILI KUKAMILIKA.
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI KATIKATI
AKITEMBEA JUU YA DARAJA LA MBUTU AMBALO LINAKARIBIA
KUKAMILIKA UJENZI WAKE. WA KWANZA KULIA NI KATIBU MKUU WA
WIZARA YA UJENZI MHANDISI MUSSA IYOMBE .
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKIPOKEA
MAELEZO YA UJENZI WA DARAJA LA MBUTU.
KAZI ZA UJENZI WA TUTA LA DARAJA LA MBUTU
UKIENDELE KWA KASI.
WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI WAKWANZA
KUSHOTO AKIELEKEA KUWAHUTUBIA WANANCHI WA MBUTU MARA
BAADA YA UKAGUZI WA DARAJA HILO LA MBUTU.
WAKAZI WA MBUTU NA IGUNGA WAKISHUKA KWENYE
DARAJA LA MBUTU KWENDA KUMSIKILIZA WAZIRI WA UJENZI
DKT.JOHN MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA HADHARA.
SEHEMU YA TUTA LA DARAJA LA MBUTU
LINAVYOONEKANA KATIKA PICHA.
Safi magufuli...lakni vaa kichapakazi vijijini; sio hayo mavazi.
ReplyDelete