Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
(katikati), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa
Katoliki la Makongo Juu iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini
Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa
Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira, Paroko wa Parokia ya
Makongo Juu, Joseph Masenge, Mwakilishi wa Mkombozi Commecial Benki,
Edina Lupembe na Respius Didace.
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (Wa pili
kulia), akizungumza katika harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa
Katoliki la Makongo Juu iliyofanyika kanisani hapo Juni 29-2014 jijini
Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mshauri wa Kimataifa wa
Kujitegemea, James Rugemalira, Mrs Rugemalira ambao ni wakazi wa
Makongo, Paroko wa Parokia ya Makongo Juu na Joseph Masenge
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye sherehe hiyo.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka
na Paroko wa Parokia ya Makongo, Joseph Masenge wakiwa katika picha ya
pamoja na watoto walioahidi kila mmoja kuchangia sh.100,000 za ujenzi wa
kanisa hilo. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...