Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga
ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu
Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo
akiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa
Della Diaia(Nyuma ya furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na
vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga
ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu
Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo
akiwakabidhi mlezi wa watoto wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya
Furaha),Sister Consolata cha Bombo Tanga msaada wa vyakula na vitu
mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga
ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu
Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Sylvester Tyienyi
akiwaamembeba mmoja na watoto waishio katika mazingira magumu
wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya Furaha) mkoani Tanga
walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...