Promota wa mbambano wa ngumi usiokuwa na ubingwa, Rashid
Kipanga akiwatambulisha, Manenono Osward(Mtambo wa Gongo)
kulia na Abdalah Pazi (Mudi Mbabe) wanaotarajia kuchuana Augosti
10,2014.Utambulisho wa pambano hilo ulifanyika katika Ukumbi wa Mwinjuma
Dar es Salaam jana.
Mchezaji wa Ngumi, Abdalah Pazi (Mudi Mbabe) akisaini mkataba wa
kupigana na Bondia Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) hapo Augosti 10,2014 katika Ukumi
wa CCM Mwinjuma jijini Dar es Salaam.Kulia ni Rais wa Chama cha
Ngumi Tanzania(TPBC), Chaurembo Palasa akishuhudia.
Mchezaji wa Ngumi, Maneno Osward (Mtambo wa Gongo) akisaini
mkataba wa kupigana na Abadalah Pazi (Mudi Mbabe) Augosti 10,2014
katika Ukumi wa CCM Mwinjuma jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Rais wa
Chama cha Ngumi Tanzania(TPBC), Chaurembo Palasa akishuhudia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...