Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito
Akishino na mkewe Kiko,
wakifurahia ngoma za makabila la Wadatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai,
katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya
Ngorongoro, pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange
na Adam Akyoo pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi
Ntibenda.
wakiwa wanafurahia ngoma za wamasai pamoja na
wabarabaigi.
Katika
picha nyingine Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo kuhusu
shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari cha
Loduare Gate.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...