![]() |
Mtoto Idda Baitwa akiwa na ndugu yake Leah Baitwa wakiwa wamepumzika baada ya kutembea umbari mrefu wakipanda mlima Kilimanjaro. |
![]() |
Mtoto Idda Baitwa akijaribu kupita katika miamba kwa msaada wa fimbo wakati akipanda mlima Kilimanjaro. |
![]() |
"Hoi' ni baada ya kutembea umbali
mrefu. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...