Mtoto
Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Baba yake Bwa.Joseph Kusaga ,mapema
jioni ya leo mara baada ya wageni waalikwa mbalimbali kupata futari ya
pamoja ndani Escape Two,Mbezi jijini Dar,na baadae ikafuatia hafla ndogo ya mtoto Zalex ambaye alikuwa akisherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Zalex akimlisha keki Mama yake Mdogo,Bi.Mariam Shamo
Zalex akikata keki huku akiwa amezungukwa na watoto wenzake waliofika kushiriki nae kwenye hafla hiyo ya siku ya kuzaliwa.
Mtoto Zalex Joseph Kusaga akimlisha keki Mama yake,Bi Juhayna Kusaga .
Dada yake Zalex,Natalia akisaidia kukata keki
Watoto wakiimba kwa pamoja.
Mama yake Zalex,Bi Juhayna Kusaga akiwasha mishumaa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...