Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angela Kairuki (Mb.) akizungumza na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino kabla ya kuondoka. Prince Akishino amemaliza ziara yake aliyo ifanya hapa nchini kuanzia tarehe 3 hadi 6 Julai 2014
Naibu waziri Angela Kairuki akimsindikiza Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino tayari kwa kuanza safari, kushoto pichani Afisa Mambo ya Nje Ramadhani Ditopile Mzuzuri
Naibu Waziri Angela Kairuki akiagana na Mwana Mfalme wa Japan Prince Akishino kabla ya kuanza safari yake katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam.Picha na Reginald Philip

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...