Mpira ukiwa mbali na Neymar Juan Zunga wa Colombia anampiga goti Neymar Mgongoni na kumvunja uti wakati wa mechi yao ambapo Brazil ilishinda 2-1 na kutinga nusu fainali ya kombe la Dunia jana
Neymar akigalagala baada ya kuvunjwa uti wa mgongo. Chini ni picha ya X-ray ya sehemu aliyovunjika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...