OCD wa Wilaya ya Mbeya Mjini,Richard Mchomvu amekutana na kuzungumza na wananchi wa Eneo la Ndongole, Wilayani hapo,wakati wakizungumzia juu ya maswala ya uhalifu unaotokea mara kwa mra katika eneo hilo.katika mazungumzo hayo,OCD Richard Mchomvu amesema kuwa kuanzia sasa Jeshi la Polisi litapambana vilivyo na wahalifu waliopo katika maeneo hayo,huku akijipanga kukabiliana vyema na vijana wanao vuta bangi na kuuza madawa ya kulevya katika eneo la makabulini.Wakitoa dukuduku lao,Wananchi hao wamedai kuwa katika eneo hilo watu hubakwa na kuporwa vitu na vibaka.OCD Richard Mchomvu amedokeza juu ya proglam ya Jeshi la Polisi iitwayo{FAMILIA YANGU IKO SALAMA}.Picha na Fadhil Atick.
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Mbeya Mjini,OCD Richard Mchomvu akizungumza na wananchi wa  Eneo la Ndongole, Wilayani hapo.
Kamanda huyo akiendelea kupokea taarifa mbali mbali.
Mmoja wa Wakazi wa eneo hilo la Ndongole, Wilayani Mbeya Mjini akitoa dukuduku lake wakati wa Mkutano na OCD wa Wilaya hiyo.
Sehemu ya wananchi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...