Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara shuke ya sekondari Kipumbwi. 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakinunua samaki katika kibanda huko Bweni Wilaya ya Pangani juzi wakati Rais alipokwenda kuzindua mradi wa maji na kuweka jiwe la msingi kwaajili ya ujenzi wa maabara shuke ya sekondari Kipumbwi.(picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2014

    JK mteja mzuri, hujaomba kupunguziwa. nafikiri wauzaji wameuza bei inayostahiki. Allah akulipe kwa kuwafurahisha wananchi wako, nafikiri wamejisikia furaha kuwa na kiongozi wao kwenye soko lao

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2014

    Rais amefanya vizuri sana kumuunga mkono mjasirilimali.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2014

    Muuzaji utakuta ameshtuka sana kumuona rais hapo ikabidi ampe bure tu..

    ReplyDelete
  4. Wallahi huyu Rais wetu Kikwete ana roho kubwa kushinda dunia?Yaani hapo mpaka kaniliza anatamani kama awabebe wananchi wote ila tu ndo haiwezekani.Mola yupo nawe Rais wetu.Mliosoma Psycology mtanielewa.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2014

    kama Obama vile utu kwanza cheo baadaye, jamaa anakumbuka alikotoka ,sio wengine akifika huko basi anadhani akijichanganya heshima inashuka,kumbe ndo inapanda BIG UP JK NO 1

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 14, 2014

      Obama nchi imemshinda.obama unajua alipotokea wewe .kalelewa na bibi Mzungu first woman bank Director wa bank .Obama amesoma best school all his life .obama nchi imemshinda anafikiria mchezo mchezo tu .Amesema mwenyewe kachoka Washington chezea uraisi wewe .Kikwete mtoto wa mkulima elimu yake ndio yupo hapo

      Delete
  6. AnonymousJuly 14, 2014

    Mkuu kumbe na wewe wala Ng'onda, hiyo kitu balaa na nazi bwana, wachaa. Big up sana. hiyo kitu ikipikwa unasikia harufu nyumba ya kumi hukoo. duh alafu ng'onda wa ukweli hao. naenda KKOO now kununua wangu mkuu umenikumbusha mbali sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 14, 2014

    Kikwete ni raisi wa ajabu sana, mambo anayoyafanya si kawaida kufanywa na maraisi kwani yeye hujichanganya sana na watu tena hata wale wa kawaida kabisa!!! Yaani inafikia pahala raisi kununua ng'onda! Sina kama Mhe. Kikwete anahitaji kupatiwa ulinzi baada ya kustaafu labda ifanywe kuwa ni desturi tu baada ya kwamba yeye ni raisi mstaafu, ulinzi wa nini na yeye hana adui na watu wote ni marafiki kwake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...