Home
Unlabelled
salamu za eid kutoka kwa Dekula kahanga vumbi wa sweden
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dekula Vumbi Kahanga, Bobo Sukari wote hawa ex-Maquis Original na timu nzima ya Dekula Banda naona mnafanya kazi nzuri ya kuenzi muziki wa dansi wa Tanzanaia , asanteni sana.
ReplyDeleteMdau
Christos Papachristou
Diaspora
Vijana mnaona kazi za kikubwa katika live performance, mjue muziki wa dansi bado una nafasi yake duniani.
ReplyDeleteHivyo siyo vijana wa kizazi kipya mfanye muziki wa studio tu au stejini mnatumia CD au lap top bila uwezo wa ku-perform live mkiwa bendi/wasanii mmekamilika idara zote kuanzia sauti, ala za vyombo na kulitawala jukwaa.
Mdau
Kijana wa Mkongwe