KAMA BADO HUJALIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KULIKE UKURASA WETU KWA KUFUATA KIUNGANISHI HIKI
https://www.facebook.com/tztmt ukishalike ukurasa wetu fuata hatua hizo chini
 Ukurasa wetu ukifunguka Unaonekana kama Picha inavyoonyesha juu hapo Utafata hatua ya Kwanza kama ilivyoonyeshwa kwenye picha hizo.
Ukishamaliza kumpigia kura mshiriki umpendae kwa kubofya kitufe kilichoandikwa VOTE utapokea ujumbe mfupi kwenye kioo chako na utakuwa tayari ushampigia kura
Hatimae Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) hapo Jana  limezindua huduma ya kuwawezesha Watazamaji wa Vipindi vya TMT pamoja na wapenzi wa Shindano hilo huduma ya kumpigia kura mshiriki au washiriki wanaowavutia kupitia ukurasa wa facebook wa TMT, Hatua hiyo imekuja mara baada ya kuona kuwa Shindano hili limetokea kuwa kivutio kikubwa cha Watanzania wengi waliopo ndani na nje ya Nchini ambao wanafuatilia kwa Ukaribu sana shindano hili na hatimaye wengine kukosa nafasi ya kuwapigia kura washiriki wanaowavutia kutokana na Kushindwa kutumia huduma ya SMS. Kwa kuona umuhimu wa watazamaji wetu TMT ikaamua kuleta huduma hii karibu ili kuwawezesha watazamaji na wapenzi wengi wa TMT kuweza kuwapigia kura washiriki wawapendao. Sasa Watazamaji wa TMT wanaweza kuwapigia Kura washiriki kwa Kufuata Hatua hizi Hapo Juu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...