Kadri siku zinavyozidi kwenda na simo hili linazidi kushika kasi ya kuendelea kuchimbika,jambo ambalo linaweza sababisha madhara makubwa hapo baadae.Shimo hili lipo usoni kabisa mwa Shule ya Sekondari Tambaza,Upanga jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 30, 2014

    Kikwete hajaliona?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 30, 2014

    Halmashauri husika iko wapi

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 30, 2014

    Hili lina uhusiano na matokeo mabaya ya Tambaza? Kuuliza si ujinga!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2014

    mdau nahisi litakuwa na mahusiano makubwa sana na matokeo mabaya ya hao watoto. unajua watoto wa siku hizi bwana wako kidijitali zaidi hawataki shida. wakiona wanazinguliwa wao ni kusepa zao kusiko julikana. ingekuwa ni ile tambaza iliyokuwa inafanya vizuri hadi kingeeleweka asingepita pita mtu hadi lizibwe. wale wa zama zile si unakumbuka kwenye mechi za mpira wa miguu na majirani zao ilikuwa hadi mtu ang'olewe miguu au atolee ngeu, sembuse kuwepo kwa shimo kubwa kama hilo mbele ya shule yao!??

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 31, 2014

    sio hilo tu jamani Kariakoo shule ya uhuru na congo tunaumia na mashimo maeneo yale watumiaji wa barabara ile ,muda unatumika mwingi kuvuka eneo lile jamani wahusika mtusaidie jamani pale ni shida

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...