Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS Bw. Godlease Malisa akizungumza na
waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano na waandishi wa habari
uliofanyika katika banda la TACAIDS kwenye viwanja vya Sabasaba jana Jijini Dar
es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti
Ukimwi Tanzania Dr. Jerome Kamwela.
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania Dr. Jerome Kamwela akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa
habari uliofanyika katika banda la TACAIDS kwenye viwanja vya Sabasaba jana Jijini
Dar es Salaam, kushoto ni Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS Bw. Godlease Malisa.
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania Dr. Jerome Kamwela kati akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa Ufuasihii
wa dawa na huduma za jamii wa ICAP Globali Health Action Bi: Agnes Rubare
Rwegasha alipotembelea banda la ICAP, kushoto ni Afisa Mawasiliano Kutoka TACAIDS
Bw. Godlease Malisa.
Mkurugenzi wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi
Tanzania Dr. Jerome Kamwela akimuuliza swali Mwelimisha Rika kutoka PSI
(Population Service International) Bi: Veronica Mbilinyi alipotembelea banda hilo
katika Viwanja vya Sabasaba leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na: Genofeva Matemu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...