TIB Development Bank tunakukaribisha ututembelee kwenye banda letu la SabaSaba ujionee jinsi gani tunashirikiana na wateja/ washirika wetu kufanikisha biashara zao na kuleta maendeleo. SabaSaba hii TIB Development Bank tutakua tunatoa Ushauri wa kibiashara, mafunzo ya ujasiriamali, maelezo ya huduma zetu za kibenki pamoja huduma za UmojaSwitch ATM, business centre kwa ajili ya wateja kufanyia mikutano/ presentations, WiFi internet ya bure pamoja na huduma za mgahawa wa kisasa unaouza vyakula na bidhaa zilizozalishwa na wateja wetu. Karibuni mjionee tunavyounganisha uzalishaji na masoko. TIB Development Bank. Your Partner for Growth.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...