Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati) akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema,Mh. Freeman Mbowe na wa pili kulia ni Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James Mbatia.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa.
Viongozi wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakishikana mikono kuashiria umoja mara baada ya kuongea na wandishi wa habari kutoa Tamko la Ukawa kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi Bungeni.kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi,Mosena Nyambabe,Mwenyekiti wa Chadema,Mh.Freeman Mbowe ,Mwenyekiti wa CUF,Profesa Ibrahim Lipumba,Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Mh. James Mbatia na Katibu Mkuu wa Chadema,Dkt. Wilbrod Slaa wakiwa nje ya makao makuu ya cuf.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2014

    oh! Haya tuuu nyie!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2014

    Wamesemaje

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2014

    kila la kheri kwa manufaa ya wananchi

    ReplyDelete
  4. Mungu wape imani na uvumilivu hawa watu wenye nia njema na Taifa hili.....

    ReplyDelete
  5. Tunajua UKAWA mna hoja za msingi zilizosheheni maslahi ya taifa. Ila nina wasiwasi kama mtadumu katika umoja huo.

    ReplyDelete
  6. Tafadhali tuandikieni walichokisema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...